Header ads

Header ads
» »Unlabelled » Fahamu jinsi ya kusafisha kioo cha Compyuta na TV yako



Ushawahi kusikia mtu ameharibu kioo chale cha laptop kwa sababu tuu alikuwa anakisafisha? Kama bado ufahamu uwe inatokea, na sababu kubwa inakuwa ni utumiaji wa njia ambazo si salama kwa vioo (display) vya teknolojia ya LCD.

Hatua ya kwanza:

Zima kifaa chako, iwe laptop au TV yako.
Na kwa usalama zaidi chomoa waya kutoka kwenye umeme kabisa, kwa laptop ikiwezekana chomoa betri – kama imeshindikana hakikisha ulichagua 'Shutdown' na wala si 'Hibernate' au 'Sleep'.

Hatua ya pili:

Umeme na unyevu nyevu havipatana, hakikisha umezima kabisa kifaa chako.
Tafuta kitambaa laini na nyororo, ushauri bora kama ukipata vile vitambaa spesheli kwa ajili ya kusafishia miwani basi ndio zitafaa zaidi. Alafu kilainishe kidogo, kumbuka ni kulainisha kiduchu tu….na si kukiloweka kwenye maji. Kitambaa kinatakiwa kisiwe na mimaji maji, maji kidogo ni kwa ajili ya kukifanya kiwe laini zaidi.
 Clean a Laptop Screen with Household Products Step 5

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post