Taarifa ikufikie kwamba Afrika Mashariki
imeingia kwenye headline ya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia kwa
kutengeneza gari ya aina tofauti na zile tulizozoea kuzitumia.
Kwanini nayaita mapinduzi makubwa katika
industry? Sababu ni kwamba tumezoea kutumia magari yanayotumia mafuta
na baadhi yanayotumia gesi, mpya ni kwamba Uganda inatarajia kuzindua
gari ya kwanza kutengenezwa nchini humo ambayo inatumia umeme hivi
karibuni, ambayo imetengezwa kwa msaada wa Serikali ya Uganda.
Tazama video ya gari hiyo hapo juuCHANZO BBC