Header ads

Header ads
» » KIPIGO CHA 2-1 CHAWATOA MACHOZI TAIFA STARS

Ni mapenzi kwa timu ya taifa ya nchi yake ndiyo yaliyosababisha Kapombe amwage machozi kwani licha ya kujitaidi kwa hali na mali kunusuru kipigo lakini ilishindikana. Marefa wa Kiganda walichangia kwa kiasi kikubwa kuua ndoto za ushindi kwa timu ya Tanzania. Kwahiyo hadi mwisho wa mchezo Tanzania 1 na Msumbiji 2. Tanzania wajipange sasa kwani kwa mtaji huu kimeshanuka.

Samatta nae kama Kapombe chozi chapa chapa

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post