ndio sehemu mpya aliyoifungua msanii mkongwe wa Bongo Fleva bwana
Joseph Haule aka PROF JAY na ikapewa jina la PROF JIIZE CLASSIC BARBER
SHOP. Barber Shop hii iko maeneo ya Msasani mwisho zamani palikuwa
pakiitwa Chube. Wafanya kazi wake ni makini kabisa na wazoefu wa kazi
hizi za BarberShop.
Kijana
machachari kabisa wanamwitaga pacha wa Kanumba, ukifika hapo utakutana
nae na atakutengeza vizuri kabisa kichwa chako na anauzoefu kwenye hii
kazi na nimbunifu wa style mbalimbali za kunyoa nywele.
TV
kubwaaaaaa kabisa ikiwa full DStv iko ndani, kwa wale wapenzi wa mpira
basi ukimaliza kunyoa kama hivi unaendelea kucheki mpira safii kabisa
huku ukipata kipupwe murua na umeme ukikatika jenereta linawashwa
fastaaaaaaaaaa
Ukinyoa ukapungukiwa na salio basi usikimbie wakala wote wapo wanapatikana hapo.
Pia huduma hizi zinapatikana