Filamu hiyo itakuwa na maelezo ya kustaajabisha kuhusu kuwepo kwa waigizaji ambao hapo awali kulingana na filamu hiyo walikuwa wamefariki.
Licha ya kituo cha runinga cha Fox kutangaza kuhusu filamu hiyo haijabainishwa tarehe kamili ya kupeperushwa filamu hiyo tena hewani.
Paul Scheuring ndie mtaarishaji wa filamu hiyo iliopendwa mwaka 2005 na 2009.