kiwa ni mwaka mmoja toka kianzishe kituo hiki cha radio EFM, imekuwa radio miongoni mwa redio inayosikilizwa na wengi hapa Dar es Salaam.
Siku 365 radio hii imeweza kupendwa hapa Dar nakushika nafasi ya pili kwa hapa Dar kwa mujibu wa kampuni ya utafiti ya GEO POLL ambaye ni meneja uhusiano wa kituo hicho.
WATANZANIA wameaswa kuendelea kushiriki katika shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Kituo cha Radio cha E FM kwa lengo la kuwasaidia kutimiza ndoto zao za maisha ya baadae pamoja na kuliletea Taifa maendeleo.
Ushauri huo umetolewa leo jijini Dar es salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa E FM -FRANSIS SIZA wakati wa hafla ya kutimiza mwaka mmoja tangu kuanza kwa shughuli za Urushaji wa Matangazo wa Kituo hiki ambapo pia imehudhuriwa na wageni mbalimbali akiwemo meya wa Manispaa ya Kinondoni,YUSUPH MWENDA na Mbunge wa Kigoma Kusini mheshimiwa DAVID KAFULILA,ZITTO
KABWE na Mkurugenzi wa masoko wa zantel SUKHWINDER BAJWA
Katika hafla hiyo SIZA amesema kuwa ni muda muafaka sasa kwa watanzania kubadili maisha yao kuwa chanya kupitia E FM kwa kushiriki masuala yote muhimu yanayoanzishwa na kuendelezwa na kituo hiki.
Katika hafla hiyo SIZA amesema kuwa ni muda muafaka sasa kwa watanzania kubadili maisha yao kuwa chanya kupitia E FM kwa kushiriki masuala yote muhimu yanayoanzishwa na kuendelezwa na kituo hiki.