Header ads

Header ads

headlines

» » Huu hapa wimbo Mpya wa Mo Music - Nitazoea | Download na sikiliza

 
Msani Chipukizi kutoka ndani ya Jiji la Mwanza aka Rock city Amedondosha Wimbo wake mpya, Unaotambulika kwa Jina la NITAZOEA, Wimbo huu umetengenezwa na Ma producer watatu ambao ni Deey Classic, Abby Dad, na Lolly Pop..Chukua Muda wako mfupi ku download wimbo huu na usikilze ngoma hii kaliii..

https://mkito.com/song/nitazoea/13928/bwi-45-27885

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Chukua Muda mfupi kujua kilicho Andikwa kwenye Magazeti ya Leo Jumanne ya Tarehe 14 April 2015
»
Previous
Mama Yake Beyonce Afunga Ndoa