Header ads

Header ads
» » » UMATI WA WATU WAMZINGIRA DIAMOND WAKATI AKIENDA MSIKITINI JANA MSIBANI ZANZIBAR, CHEKI PICHA HAPA





Diamond akiwa sambamba na mkurugenzi wa Clouds Media,Ruge Mutahaba wakielekea
msikitini kusalia maiti....



Ghafla umati wa watu ulimzingira na kumuweka mtu kati....

Hapa akiwa amefika salama msikitin kwa nje alikutana
 na msanii Berryblack
 kutoka zanzibar
Ili ni eneo la msikiiti.....wananchi walimzingira kwa wingi....wenye simu zenye uwezo wa kupiga
picha walizitoa na kuanza kumwekua mwekua 


Hali hii ilizidi hata muda wa kutawaza ulipofika waliongozana nae....

Baada ya hali kuwa vile jeshi la polisi lilibidi kuingilia kati hali ile isije ikaleta vurugu
na kuharibu mipango ya msiba.....



Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post