Header ads

Header ads
» » MALI ZA GOLDIE ZAPIGWA MNADA KUSAIDIA WANAWAKE DHID YA MANYASO SOMA HAPA STORY KAMILI.





Mali za nyota wa muziki ambaye aliaga dunia mwezi wa pili mwaka huu, Goldie Harvey kutoka huko Naijeria, zinatarajiwa kufanyiwa mnada kwa ajili ya kuchanga fedha za kutoa sapoti kwa mradi wa hisani wa kupambana na manyanyaso dhidi Wanawake.

Hii ni kwa mujibu wa wosia ambao mwanadada huyu aliacha, kitu ambacho kinaashiria upendo na nia kubwa aliyokuwa nayo katika kuwasaidia wanawake wenzake kuondokana na maisha ya kukandamizwa
kupitia taasisi yake ya Project Alert.

Mnada wa mali za mwanadada huyu utafanyika May mosi na sehemu ambayo shughuli nzima itafanyik

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post