Header ads

Header ads
» » » Samsung kuzindua 'Smartphone' yenye uwezo wa kukunjwa na kukunjuliwa kama kitabu



Kampuni ya kuunda simu na bidhaa zingine za Samsung yafahamisha kuanza rasmi maonyesho ya toleo jipya ya simu aina ya Smartphone itakayokuwa na uwezo wa kufunguliwa kwa kukunjuliwa na kufungwa kwa kukunjwa.
Kwa mujibu wa tovuti ya shirika la habari la Korea la ET ​ ​kampuni ya Samsung itaanza kuzalisha simu hizo kwa wingi kutayarisha maonyesho yake ya kwanza mwishoni mwa mwaka 2016.
Ripoti ya shirika hilo la habari ilibainisha kuwa simu hiyo ina ukubwa wa inchi 5 ikiwa imefungwa na ikikunjuliwa huongezeka na kuwa inchi 7.

Tazama video hapa

 

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post