Header ads

Header ads
» » Nimekuwekea Picha za GEREZA Hatari Zaidi Duniani | zipitie Hapa



Majambazi wa nchini El Salvador wakihamishwa kutoka gereza moja kwenda jingine
Majambazi wa nchini El Salvador wakihamishwa kutoka gereza la Izalco kwenda gereza la San Francisco Gotera
Uongozi nchini El Salvador wamehamisha wafungwa kutoka kwenye magenge mawili na kuwaingiza kwenye gereza moja kwa mara ya kwanza, ili kuwazuia wasifanye shughuli wakiwa gerezani.
Hawa ni majambazi wa genge la Barrio 18
Hawa ni majambazi wa genge la Barrio 18
Picha za ajabu inaonyesha wamefungwa pingu kutoka kwenye genge maarufu Barrio 18 wakiongozwa kuingia kwenye basi kutoka kwenye gereza la Izalco kwenda San Francisco Gotera katika jitihada za kupambana na uhalifu.
Wakiwa wamefungwa pingu kwa namna yake
Wakiwa wamefungwa pingu kwa namna yake
Wanachama 1,177 wa genge la Barrio 18 walihamishwa.
Majambazi hao walichanganywa na mahasimu wao
Majambazi hao walichanganywa na mahasimu wao
Na hawatawekwa pamoja kutokana na magenge yao, bali kwa uhatari wao.
Majambazi hawa wanahusika na mauaji ya polisi 20, wanajeshi wawili, askari magereza sita na mwendesha mashtaka
Majambazi hawa wanahusika na mauaji ya polisi 20, wanajeshi wawili, askari magereza sita na mwendesha mashtaka
Sera ya kuchanganya magenge pamoja ilikuja wakati maafisa walipogundua kuwa magenge yalikuwa yakielekeza shughuli za uhalifu kutokea gerezani.
Majambazi hawa wamekuwa wakiendesha uhalifu ilhali wapo grezani
Majambazi hawa wamekuwa wakiendesha uhalifu ilhali wapo gerezani
Januari, uongozi wa serikali ya El Salvador waliagiza polisi kuwafyatulia risasi majambazi hawa bila woga wowote
Januari, uongozi wa serikali ya El Salvador waliagiza polisi kuwapiga risasi majambazi hawa bila woga wowote
Majambazi wa Berrio 18 wakishuka kwenye basi
Majambazi wa Berrio 18 wakishuka kwenye basi
Jambazi akiwa amepozi katika gereza la Izalco mwaka 2013
Jambazi akiwa amepozi katika gereza la Izalco mwaka 2013
Mfungwa wa genge la Mara 18 akiwa amepozi gereza la Izalco mEI 20, 2013
Mfungwa wa genge la Mara 18 akiwa amepozi gereza la Izalco Mei 20, 2013
Mfuasi wa genge la Mara akiwa nchini Honduras 2006
Mfuasi wa genge la Mara Salvatrucha akiwa nchini Honduras 2006
Kiongozi wa zamani wa Mara Salvatrucha akiwa Honduras 2008
Kiongozi wa zamani wa Mara Salvatrucha akiwa Honduras 2008

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post