Header ads

Header ads
» » MWANAMKEANYONGWA KWA KOSA LA MAUAJI

Iran imemnyonga mwanamke ambaye inadai alimuua mwanamme mmoja ambaye alijaribu kum'baka.
Vyombo vya habari nchin humo vinasema kuwa Reyhane Jabbari aliyekuwa na miaka 26 alinyongwa leo Jumamosi .
Inaripotiwa kuwa madai yake kuwa alimuua mwanamume huyo miaka saba iliyopita akijaribu kujilinda yalikosa ushahidi mahakamani ambapo alipatikana na makosa ya kuuwa.
Shirika la haki za kibinaadamu Amnesty International limesema kuwa uamuzi huo ni wa kusikitisha.
Kampeni ilioanzishwa ili kuzima hukumu hiyo katika mitandao ya facebook na Twitter mwezi uliopita haikufua dafu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post