Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(kulia), akizungumza alipokuwa akifungua mkutano wa muhtasari wa
majumuisho ya majadiliano na mapendekezo ya mikutano ya Kanda Baraza la
Katiba la Tasnia ya Habari juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, Dar es
Salaam.
Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari wakisikiliza
wakati Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(hayupo pichani).
Sehemu ya wajumbe wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari wakisikiliza
wakati Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(hayupo pichani).
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(kulia), akizungumza alipokuwa akifungua mkutano wa muhtasari wa
majumuisho ya majadiliano na mapendekezo ya mikutano ya Kanda Baraza la
Katiba la Tasnia ya Habari juu ya Rasimu ya Katiba Mpya, Dar es Salaam
leo. Kushoto ni Kajubi Mukajanga ambaye ni Katibu Mtendaji wa Baraza la
Habari Tanzania (MCT).
Jaji Warioba akiondoka
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza
la Katiba la Tasnia ya Habari
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba
(katikati waliokaa), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Baraza
la Katiba la Tasnia ya Habari
Naibu Katibu Mkuu wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Casmir Kiuki akifafanunua jambo wakati wa mkutano huo
Msanii wa kuchora katuni, Robert Mwampembwa akichangia maoni
Mkurugenzi Mtendaji wa ABM Radio, Abdallah Majura akichangia maoni kuhusu suala ya habari kuwa la Muungano.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ranfred Masako akichangia maoni wakati wa mkutano huo.
Mwandishi wa habari mkongwe, Allan Lawa akichangia maoni
Makamu Mwenyekiti wa TASJA, Bakari Kimwanga akichangia maoni
BAHTISMA BLOG CHAGUO LA WATU.